Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji ni kazi inayohitaji Maarifa na Juhudi ili kupata mazao mengi na yaliyo bora. Wanunuzi hupenda kuku bora, mayai bora na nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipasavyo.
Ufugaji bora wa kuku humhitaji mfugaji kuelewa na kuzingatia kanuni za ufugaji bora kuku.
Ni lazima mfugaji wa kuku wa kienyeji awe na elimu hii ili aweze kuendesha shughuli zake kwa usahihi na kwa manufaa ya wateja.