
Thamani ya Ukubwa
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi. Safari yake haiishii pema kwani anajikuta amedondokea katika mikono ya mahakama tayari kwa ajili ya kuhukumiwa.