BOOK OVERVIEW
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 7 Chapters:
1. Magonjwa ya Mifugo.
2. Njia za kuzuia maambukizi ya magonjwa.
3. Magonjwa ya Ng’ombe.
4. Magonjwa ya Kuku.
5. Magonjwa ya Mbuzi.
6. Magonjwa ya Sungura.
7. Magonjwa ya Nguruwe.
Brief Summary
It is about the Diseases of Livestock
B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa .Dhibiti magonjwa ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa, nyama, mayai, ngozi n.k. na kuondoa umaskini wa wafugaji. Moja ya Kanuni za Ufugaji Bora inawataka wafugaji wadhibiti magonjwa ya mifugo. Lakini, magonjwa yana visababishi au wakala. Tukijua visababishi hivyo na namna ya kuvidhibiti au kuvipunguza, magonjwa yatapungua . Magonjwa yanazuilika. Magonjwa yanatibika. Tufanye, basi, kazi hizo mbili ili kuboresha ufugaji. Lengo kuu la kitabu hiki ni kuwasaidia wafugaji wafanye hivyo.