
Dunia Hadaa
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Starehe na vishawishi vinamteka Diana na kujikuta ameingia kwenye ulimwengu mpya. Pengine hatutarajii kumwona katika ulimwengu wa aina hii kwa vile ni mwanamke aliyeolewa. lakini tayari ameshaingia.